1.TENDE
chukua tende na utengeneze juice nzitonzito upate glass mbili na uchanganye na habbatsauda kijiko kimoja kila glass.kisha unywe glass1 kutwa mara2 kila siku kwa siku 11 au zaidi,basi tatizo hili litaondoka.
2.KITUNGUU
Tengeneza juice ya kitunguu maji na uichemshe ikiiva vizuri unywe kikombe kimoja kidogo cha chai kila asubuhi kwa siku saba ni tiba nzuri kwa chango la uzazi

1 Comments
Samahan naweza kutumia hiyo dawa ya kitunguu hat nikiwa ktk period?
ReplyDelete