UJUWE UGONJWA WA CHANGO YA UZAZI

DALILI ZAKE 

Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.

Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhiKuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoaSiku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilikaHujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhiKupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.Kuchukia kushiriki tendo la ndoaKupata uvimbe kwenye kizaziMimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

Madhara yake kwa mwanamke 

Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimbaMwanaamke anaweza kuwa tasa kabisaKuingia na kutoka kwa mimbaKuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleniKuwa na uke mdogo sana

Madhara kwa Mwanaume 

Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimbaKiwango kinachozalishw cha megu ni kidogo mnoKuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoaKusimama na kusinyaa kwa uume

Tiba ya Chango la Uzazi  

Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.

Post a Comment

0 Comments