UMUHIMU WA MAJI KWA MTU ANAYESUMBULIWA NA MAUMIVU YA HEDHI

UJUWE UMUHIMU WA MAJI KWA MTU ANAYESUMBULIWA NA MAUMIVU YA HEDHI.

katika hali inayoonekana siyo ya kawaida, unywaji wa maji mengi ya kutosha huzuia mwili wako kubaki na maji na husaidia kuepukana na maradhi mbalimbali pamoja maumivu wakati wa hedhi. Maji ya joto au ya moto huwa bora zaidi kwa katika kupunguza na kuondosha maumivu wakati wa hedhi, Kwan maji ya moto huongeza mtiririko wa damu kwenye miili yetu na huweza kulegeza misuli inayopatikana kwenye uterus na tumboni kwa ujumla.

Unaweza pia kula vyakula vyenye maji ili kuongeza maji yako, vyakula hivo ni pamoja na:

  1. matikiti maji
  2. matango
  3. maziwa
  4. berries (jordgubbar, blueberries, raspberries)

Post a Comment

0 Comments