Namna Za Kufanya Tendo la Ndoa kwa Mama Mjamzito



Kufanya tendo la ndoa kipindi cha ujauzito ni jambo muhimu Sana kwenye upande wa afya ya Mama mjamzito lakini mtihani ni kwamba ni kw jinsi gani mtaliendea tendo hilo. Kikubwa cha kuchunga ni kutokuingiza uume wote ambapo unaweza kufika kweny mji wa mimba na kumuumiza Mama mjamzito. Tumia njia zifuatazo kufanya tendo la ndoa bila kuleta madhara kwa mtoto tumboni.

 1.Kulala ubavu kwa mwanaume na kumuendea mkewe katika namna ya kutengeneza herufi v.

 2.Mwanamke kuwa juu wakati wa tendo la ndoa. Hii inasaidia kulilinda tumbo la Mama dhidi ya uzito wa mwanaume endapo ataruhusiwa kuwa juu. Pia inasaidia kumfanya Mama kulimiliki tendo zima la ndoa ambapo anaweza kuamua ni kiasi gani anazamisha uume kwenye uke wake.

 3.Kulala ubavu kwa mwanamke na mwanaume , hii inasaidia kuepusha uume kuzama wote ukeni na kulilinda tumbo la Mama.

 4.Kulala chali kwa mwanamke na mwanaume kupiga magoti. hii inasaidia pia kulilinda tumbo la Mama, Mara nying njia hii inakuwa rahisi kwa kutumia Pembe za kitanda kama mtakuwa na kitanda cha chini. Au kama wote mtakuwa kwenye kitanda ni vizuri mama kuweka mto kama tunavyoona.

 5. Njia ya mpakato. Kama tunavyoona kwenye njia ya mwisho Mama mjamzito anatakiwa kukaa juu ya mwanaume Hali ya kuwa mwanaume kakaa kwenye kiti au hata chini.

Post a Comment

0 Comments